Babu salaam?

Babu salaam?

Oya, mzee.. Kikawaida, unatakiwa uandike unapatikana wapi.. Yaani, ikiwa watu wa humu watakuhitaji, sharti wajue wapi watakupata katika miradi ya Wiki. Kama ni Wikipedia ya Kiingereza au mitandao mingine ya wiki, sawa tu. Tena uandike usoni kabisa katika ukurasa wa mtumiaji! Pamoja sana!

Bonge.

Muddyb Blast Producer (talk)13:37, 25 August 2012