Jump to content

iHRIS:08e2e32ec585fde38c58e74c710b6c558d33a4dc-Once one or more applications/sw

From translatewiki.net

Mara tu ombi moja au zaidi yakihifadhiwa kwa ajili ya nafasi iliyo wazi, Afisa Rasilimali Watu, Meneja Rasilimali watu au Meneja Mtendaji anaweza kupitia upya maombi na maelezo ya kumbukumbu wakati wa mchakato wa kuajiri. Bofya Pitia Upya Waombaji ili kupitia upya maombi yote kwa ajili ya nafasi yoyote iliyo wazi.