Jump to content

iHRIS:6a8ee419c117f603711290de8dfaebf36ad4751d-To track a person in the datab/sw

From translatewiki.net

Ili kumfuatilia mtu kwenye hazinadata, ongeza kumbukumbu kwa ajili ya huyo mtu. Taarifa fulani inahitajika ili kuanza kumbukumbu mpya. Mara tu kumbukumbu inapotengenezwa, chaguzi za ziada kwa ajili ya kuongeza data kuhusu mtu huyo zitakuwa zikipatikana. Afisa Rasilimali Watu au Meneja Rasilimali Watu anaweza kuongeza mtu mpya kwenye mfumo.