MediaWiki talk:Powersearch-togglenone/sw
- [View source↑]
- [History↑]
Contents
Thread title | Replies | Last modified |
---|---|---|
Translating 'none' | 5 | 15:06, 8 March 2010 |
Iliyopo sasa hivi ni 'bila'. Napendekeza haya:
- Sufuri
- Kutochagua
- Chaguzi zifutwe
- Kutochagua yote
- Yasichaguliwe
Ama tubadilishe jumbe zote tatu za 'check', 'All', na 'None' ziwe 'Yote' au 'Yote kwa pamoja', 'Yachaguliwe' na 'Yasichaguliwe'. Je, inaeleweka zaidi?
Dada, salam. Sijui hata tuite vipi. Kamusi yangu ya TUKI inasema:
none (pron) 1 bila, kutokuwepo,hakuna ~ of us hakuna kati yetu. ~ the less hata hivyo. ~ but hakuna mwingine isipokuwa. ~ other than enyewe it was ~ other than the chairman alikuwa ni mwenyekiti mwenyewe. 2 acha!
- Je, tuache "bila" au tuweke "sufuri"?--Muddyb Blast Producer 09:27, 4 March 2010 (UTC)
Si kitu rahisi, naona. Angalia mfano huu - [1]. Utaona kwamba kuna jumbe 3. Sasa zinasema 'Chagua', 'Yote' na 'Yasichaguliwe'. Je, 'bila' inaeleweka badala ya 'Yasichaguliwe'? Isipoeleweka, ni nini itakayoeleweka, kwa ajili ya jumbe zote tatu?
Kumbe! Basi tufuate sentensi inavyosema. Chagua yote au usichague! Ikishindikana zaidi, basi tutumie "acha" kama jinsi ilivyoandikwa pale mwishoni. Unaonaje?
Nimeweka buttons ya 'chagua yote' na 'usichague'. labda ile ya pili iwe 'usichague yeyote'? (Tazama mfano tena)
Salaam, dada. Usichague tu inatosha bila hata kuweka neno "yoyote". Hivyo basi hongera! Kwa sababu mabadiliko nishayaona toka kule swwp! Cheers.