Translating 'none'

Si kitu rahisi, naona. Angalia mfano huu - [1]. Utaona kwamba kuna jumbe 3. Sasa zinasema 'Chagua', 'Yote' na 'Yasichaguliwe'. Je, 'bila' inaeleweka badala ya 'Yasichaguliwe'? Isipoeleweka, ni nini itakayoeleweka, kwa ajili ya jumbe zote tatu?

Lloffiwr13:05, 4 March 2010