Usability messages

Jump to navigation Jump to search

Usability messages

Edited by another user.
Last edit: 13:23, 19 July 2010
Sina kinyongo na matokeo ya maoni yako. Ndiyo maana tunaombana msaada kusawazisha jumbe! Badili ikiwezekana.
  • Wikieditor-toolbar-tool-replace-regex ("Treat search string as a regular expression") Katika TUKI 'expression' katika hisabati ni 'uonyesho'; kwa hiyo kama ni kutunga, tutunge 'unoyesho wa kawaida'? Na kama tunatunga, basi, tuingize kwenye orodha mpya za maneno ya tarakilishi yanayotungwa, kule Wikipedia?
Tena hapa nimetafsiri "word for word". Dhahiri kwako haijaleta maana. Pendekezo lako zuri!

Jumbe zingine zinaeleweka vizuri.

Kwa hii, uoni kama zinafautana tu?--Muddyb Blast Producer 13:23, 19 July 2010 (UTC)
Lloffiwr21:13, 2 July 2010

Nimebadilisha jumbe hizi. Bado kuandika 'uonyesho wa kawaida' katika orodha ya maneno ya tarakilishi kule Wikipedia.

Lloffiwr12:59, 20 July 2010