Jump to content

Translation to Swahili

Habari yako ndugu @Amir E. Aharoni, umefanya mapendekezo mazuri kwa ndugu yetu. Ni furaha yangu kuona unawaelekeza waje katika wavuti yetu ya Wikpedia ya Kiswahili. Shukrani sana.

Muddyb (talk)07:21, 19 April 2025