Licensing
Appearance
From User talk:Lloffiwr
Hello, Lloffiwr. Nimejaribu kuchungulia zaidi kwenye makamusi ya Kiswahili ya sasa na kuthubutu kufananisha tafsiri ya ujumbe tajwa hapo juu. Hii si hakimili, bali hatimiliki kwa kufuatia neno la "license". Sijui unaonaje?--Muddyb Blast Producer 08:49, 21 November 2009 (UTC)