Sasa jumbe za "oldest" na "newest" (zinazoenekana kwa mfano) zimetafsiriwa kama Histfirst ("oldest") na Histlast ("newest"). Je, ni sawa? Au ziwe "kuanzia zamani" na "kuanzia hivi karibuni" au kadhalika?