Jump to content

Kubahatisha muktadha

Kubahatisha muktadha

Karibu translatewiki.net. Asante kwa michango yako katika translatewiki.net. Nimeona kwamba, wakati mwingine, umetafsiri jumbe zisizo na maelezo, kwa hiyo nadhani kwamba umebahatisha muktadha wa ujumbe. Kwa mfano 'zote' katika ujumbe wa MediaWiki:Viewapc-ls-limit-none/sw. Kama kuna haja ya kujua muktadha wa ujumbe, huwa tunauliza katika ukurasa wa Usaidizi. Nilifanya hivyo na Translating_talk:MediaWiki#MediaWiki:Viewapc-ls-limit-none/en_26656, ili nigundue neno liwe 'zote', 'yote', ama 'vyote'. Lakini, kama ungependa kuuliza maswali katika Kiswahili, nipo tayari kuyatafsiri. Ukipenda, unaweza kuacha maswali ya Kiswahili katika ukurasa wa Portal_talk:Sw au User_talk:Lloffiwr.

Lloffiwr (talk)14:57, 27 August 2012