Kufasiri: Mradi mpya

From translatewiki.net
Jump to navigation Jump to search
This page is a translated version of the page Translating:New project and the translation is 44% complete.

Translatewiki.net inataka kukua

Tunatafuta miradi mingine! Usisite kuwasiliana nasi na kujadili jinsi ya mradi wako unaweza kuongezwa kwa translatewiki.net. Tunathamini kazi ya Wafasiri wetu wa kujitolea, ambayo ina maana tunaangalia miradi yenye afya ambayo ni juhudi za maendeleo kwa siku za karibuni.Sisi pia tunasisitiza mawasiliano kati ya Watafsiri na watengenezaji wa programu. Hapa chini ni orodha fupi kuonyesha kile sisi tunatumaini kuona katika mradi mpya, na taratibu ambayo inahitaji kusimamiwa mara moja itakapokubalika.

Tunahitaji...

Uwazi
Uwazi Tunakubali tu miradi inayotumia leseni huru na ya chanzo huria. Ni lazima tuamue. Inatulazimu kufanya uchaguzi katika nini tunataka kuunga mkono moja kwa moja. Kwa sababu asili yetu ipo katika MediaWiki na Wikimedia, hii ni thamani ya msingi kwetu. Kama programu-tumizi yako sio ya bure, lakini bado ungetaka kutumia programu hiyo, tazama mwongozo.
Uendelezaji
Uendelezaji Mradi mpya unapaswa kuwa katika uendelezaji na kwa kutumia mfumo wa kudhibiti toleo. Sisi tayari tunafahamu CVS, Subversion na Git. Mradi unapaswa kuwa na toleo la mara kwa mara au njia nyingine ya kusasisha tafsiri. Muda wa kupata tafsiri katika matumizi (TIU) ni lazima kupunguzwa. Kuna njia mbalimbali za kupata tafsiri katika matumizi ya kasi, ambazo zinaweza kujadiliwa.
Ufungamano
Ufungamano Once content for your project has been translated, a translatewiki.net staff member will integrate translation updates into your project. This requires a language addition procedure. Translatewiki.net needs access to push changes into your project (e.g. commit access with direct push or pull requests), or have access to a branch that will be noticed and merged. This ensures that the work of translators are regularly integrated.

We like...

i18n support
i18n support We only support the UTF-8 character encoding. Support in the i18n framework for applications for variables, multiple different plurals, and right-to-left languages is preferred. Having support for grammatical forms is something we think should always be considered, and also support for gender of the user where the user is spoken to directly or other users are mentioned in interface texts. This area is often where most problems and delays come from; try and check our Localisation for developers tips to avoid them.
Communication
Communication A developer from the project should be active in translatewiki.net to answer questions, notify about coming releases, coordinate with the project's developer group, etc. Our approach to localisation works best when knowledge flows as freely as possible between developer communities and translator communities. The project liaison plays a very important role in that.
File formats
File formats The translatewiki.net system is based on translation files. Use of key-based file formats is preferred, like JSON, Java properties, or Ruby-style YAML. Other supported file formats include Gettext, Android and iOS. Let us know if you have a different format in mind; in our experience, support for a file format is relatively easy to add, if you're proficient in PHP.

Still interested? Good. You can contact us via,

If you want to explore some more first, then try the localisation for developers page.